• HABARI MPYA

    HABARI MOTOMOTO

    HABARI YA KIMATAIFA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    • HABARI ZA NYUMBANI
    • SIMBA
    • YANGA
    • AZAM
    Wednesday, May 15, 2024
    Tuesday, May 14, 2024
    DODOMA JIJI FC YAAMBULIA SULUHU KWA NAMUNGO JAMHURI

    DODOMA JIJI FC YAAMBULIA SULUHU KWA NAMUNGO JAMHURI

    WENYEJI, Dodoma Jiji FC sare ya bila mabao na Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma....
    KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA TANZANIA JULAI

    KOMBE LA KAGAME KUFANYIKA TANZANIA JULAI

    TANZANIA imeteuliwa kuwa Mwenyeji wa michuano ya Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame ambayo itafanyika kuanz...
    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE 1-1 NA SINGIDA FG MBWENI

    JKT TANZANIA YAAMBULIA SARE 1-1 NA SINGIDA FG MBWENI

    WENYEJI, JKT Tanzania wamelazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara jana ...
    IHEFU YAWACHAPA PRISONS 1-0 PALE PALE SOKOINE

    IHEFU YAWACHAPA PRISONS 1-0 PALE PALE SOKOINE

    BAO pekee la Marouf Tchakei jana liliipa Ihefu SC ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzani...
    Monday, May 13, 2024
    YANGA MABINGWA TENA LIGI KUU TZ BARA MARA TATU MFULULIZO NA 30 JUMLA

    YANGA MABINGWA TENA LIGI KUU TZ BARA MARA TATU MFULULIZO NA 30 JUMLA

    RASMI, Yanga ni mabingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa mara ya tatu mfululizo na mara ya 30 jumla baada ya ushindi wa mabao 3-1 dhidi...
    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KAITABA, 1-1 NA KAGERA SUGAR

    SIMBA SC YAAMBULIA SARE KAITABA, 1-1 NA KAGERA SUGAR

    WENYEJI, Kagera Sugar jana walilazimisha sare ya kufungana bao 1-1 na Simba SC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara Uwanja wa Kait...
    TABORA UNITED YAICHAPA MASHUJAA 1-0 UWANJA WA MWINYI

    TABORA UNITED YAICHAPA MASHUJAA 1-0 UWANJA WA MWINYI

    BAO pekee la Eric Okutu dakika ya 70 jana liliipa Tabora United ushindi wa 1-0 dhidi ya Mashujaa FC ya Kigoma katika mchezo wa Ligi Kuu ya N...
    Saturday, May 11, 2024
    Friday, May 10, 2024
    DODOMA JIJI YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS

    DODOMA JIJI YAAMBULIA SULUHU KWA TANZANIA PRISONS

    WENYEJI, Dodoma Jiji wamelazimishwa sare ya mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku huu Uwanja wa Jam...
    COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA FG 2-0 MKWAKWANI

    COASTAL UNION YAICHAPA SINGIDA FG 2-0 MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Union wameibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Singida Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara usiku...
    MASAWE APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO FC YAILAZA GEITA GOLD 2-0 RUANGWA

    MASAWE APIGA ZOTE MBILI NAMUNGO FC YAILAZA GEITA GOLD 2-0 RUANGWA

    WENYEJI, Namungo FC wameibukana ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Majali...
    Thursday, May 09, 2024
    SIMBA YAFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA, YAICHAPA AZAM 3-0 FEI TOTO AKOSA PENALTI

    SIMBA YAFUFUA MATUMAINI YA UBINGWA, YAICHAPA AZAM 3-0 FEI TOTO AKOSA PENALTI

    TIMU ya Simba SC imefufua matumani ya ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Azam FC usiku huu Uwan...
    IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI

    IHEFU YAAMBULIA SULUHU KWA JKT TANZANIA UWANJA WA LITI

    WENYEJI, Ihefu SC wamelazimishwa sare ya bila mabao na JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa CCM LITI mj...
    MTIBWA SUGAR YAZINDUKA, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 MANUNGU

    MTIBWA SUGAR YAZINDUKA, YAICHAPA TABORA UNITED 3-0 MANUNGU

    WENYEJI, Mtibwa Sugar wameibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa ...
    Wednesday, May 08, 2024
    MUDATHIR ATOKEA BENCHI KUIPA YANGA USHINDI DHIDI YA KAGERA SUGAR

    MUDATHIR ATOKEA BENCHI KUIPA YANGA USHINDI DHIDI YA KAGERA SUGAR

    MABINGWA watetezi, Yanga SC wamepata ushindi wa 1-0 dhidi ya Kagera Sugar katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam ...
    Tuesday, May 07, 2024
    Monday, May 06, 2024
    COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI

    COASTAL UNION YALAZIMISHWA SARE YA BILA MABAO NA PRISONS MKWAKWANI

    WENYEJI, Coastal Unión wamelazimishwa sare ya bila mabao na Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Mk...
    SIMBA SC YAICHAPA TABORA UNITED 2-0 CHAMAZI

    SIMBA SC YAICHAPA TABORA UNITED 2-0 CHAMAZI

    TIMU ya Simba SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Tabora United katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa Azam C...
    SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON

    SERIKALI YAMTEUA ABUBAKAR BAKHRESA KAMATI YA MAANDALIZI YA CHAN NA AFCON

    WIZARA ya Utamaduni Sanaa na Michezo imeunda Kamati ya Maandalizi ya Fainali za Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) 2024 na Kombe la Mataifa...
    IHEFU SC YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 SINGIDA MABAO YA WAKENYA

    IHEFU SC YAICHAPA NAMUNGO FC 2-0 SINGIDA MABAO YA WAKENYA

    TIMU ya Ihefu SC imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara leo Uwanja wa LITI mjin...
    Sunday, May 05, 2024
    GUEDE AWEKA BAO PEKEE YANGA YAIKANDA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    GUEDE AWEKA BAO PEKEE YANGA YAIKANDA MASHUJAA 1-0 KIGOMA

    MABINGWA watetezi, Young Africans wamezidi kulikaribia taji la tatu mfululizo la Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara na la 30 jumla baada ya ushin...

    HABARI ZA AFRIKA

    HABARI ZA KIMATAIFA

    NDONDI

    MAKTABA YA BIN ZUBEIRY

    MAKALA

    Scroll to Top